Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Magazeti wakiteta jambo wakati wa mapumziko yao leo hii baada ya ngwe ya kwanza ya mkutano wao. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Absalom Kibanda akiteta jambo na Teddy Mapunda, na staafu wengine wa SBL.
Kikosi kazi cha SBL ambacho pia Blogers wapo wakiwa katika tafakuru.
Father Kidevu nikiendelea na libeneke.




0 comments:
Post a Comment