Nafasi Ya Matangazo

July 26, 2011

 Mapacha wa tatu wa Blogs, Ahmad Michuzi wa JIACHIE BLOG, John Bukuku wa FULL SHANGWE BLOG na Mroki Mroki wa FATHER KIDEVU BLOG wakiwa katika snap ya pamoja asubihi hii Igawilo Uyole Mkoani Mbeya wakati tukienda Mwakareli katika mazishi ya Danny "Daniel" Mwakiteleko yatakayo fanyika hii leo. Blog hizo iwapo kutakuwa na mtandao zitaenda hewani LIVE kama kawaida.
Mapacha watatu wa Blog, wakiwa katika picha ya pamoja na , Imani Lwinga (wapili kushoto) ambaye ni Meneja Uhusiano wa Serengeti Breweries (SBL). SBL ndio imedhamini Blog hizi tatu kuripoti matukio ya mazishi.
Posted by MROKI On Tuesday, July 26, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo