Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wakifungua shindano lao kwa kucheza show usiku huu wa Julai 22,2011 katika Hoteli ya Oasis mjini Morogoro.
Majaji wa shindano hili wakiwa makini mezani kwao
Mgeni rasmi katika shindano hilo, Kaimu Mkurugenzi wa Manipaa ya Morogoro, Dk. Isak Khama akiwa na Vodacom Miss Tanzania 2010, Genevieve Emmanuel.
Baadhi ya wapenzi wa sanaa ya urembo wakifuatilia show hiyo.
Wadhamini wa shindano hilo nao wapo kufuatilia shindano hilo.
Warembo wakijinadi jukwaani kwa vazi la ufukweni. Jumla ya warembo 11 wanawania taji la Miss Kanda ya Mashariki usiku huu.




0 comments:
Post a Comment