Nafasi Ya Matangazo

July 25, 2011

 Mwandaaji wa Miss Lindi Shaha Ramadhani (kushoto) akiwa na baadhi ya waandaji wenzake mwisho mwa wiki katika shindano la Miss Kanda ya Mashariki. Anae mfuatia ni Frank wa Miss Morogoro na mwisho kabisa ni Mchatta wa Miss Pwani.
 Shaha akifuatilia shindano hilo na kulia ni Papaa Msofe.
 Shaha akiteta jambo na majaji wa shindano hilo kabla ya kuanza shindano.
Nifulu kufurahia ushindi...Shaha akishangilia baada ya mrembo wake Loveness kuibuka kidedea. Mbele yake ni Mwandaaji wa Mtwara, Mkama.
Posted by MROKI On Monday, July 25, 2011 1 comment

1 comment:

  1. Asante sana Kaka. Tumeona.

    Saafi sana. Haya ndio mambo ya kutuletea hapa.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo