July 17, 2011

Mwajabu Juma ndie Redds Miss Temeke 2011

Redd's Miss Temeke, Mwajabu Juma akiwa na mshindi wa pili, Cyncia Kimasha
 (kushoto) na mshindi wa tatu Husna Twalibu wakiwa katika picha ya pamoja baada
 ya kutangazwa washindi katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika
 ukumbi wa TCC Chang'ombe.
 Washiriki waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora wakiwa katika picha ya pamoja.
Redd's Miss Temeke, Mwajabu Juma akipita jukwaani na vazi la ubunifu.

No comments:

Post a Comment