July 17, 2011

Mambo yapambamoto Serengeti Fiesta Arusha

 Watu wakiwa katika foleni yakuingia katika tamasha la Serengeti Fiesta 2011, Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
 Ndani ndo kama hivi ni nyomi na muda bado unaruhusu watu zaidi kuingia.
 Niserengeti Kiburudisho Murua...Raha Kamili Huduma Zaidi.
Ninafasi ya Wasanii chipukizi wakutumbuiza na baade ni wao wenyewe manguli watapanda muda si mrefu.
Kua nami kwa picha zaidi.

No comments:

Post a Comment