Wanyama Kazi hawa wanatumiwa sana na wakazi wa Moshi Arusha katia kubenbea mizigo na bidhaa mbalimbali kutoka shamba hadi sokoni au maskani.
Wanawake wa mjini Moshi wakifanya biashara ya Mahibdi na Ndizi. Wanawake wengi wa mjini humo ndo wafanyaji biashara nyingi za kutembeza na maduka.
0 comments:
Post a Comment