July 17, 2011

WERUWERU GIRLS ALUMNI 2011 .

WERUWERU GIRLS ALUMNI 2011

Tunawatangazia wana Weru Weru Wote popote mlipo Duniani kwamba tutakua na sherehu ya alumi ya shule yetu mwanzoni mwa mwezi wa tisa mwaka huu.

Tuko katika hatua ya utambuzi wa kuandaa directory ya wanafunzi wote tafadhali sana wasilisha jina lako, mwaka wako wa graduation na contacts zako kwa coordinator wa uandikishaji huu kupitia anuani ifuatayo: mmajamba@hotmail.com

Mara tu uonepo tangazo hili. Maadhimisho haya yataendeana na kumtambua na kumtangaza  'mwanamke wa Karne' pamoja na mjadala wa mwaka  juu ya mwanamke mpendelevu na vision ya mchango wa mwanamke mpendelevu katika maendeleo ya taifa letu la Tanzania, chini ya kivuli cha miaka 50 ya utaifa wetu.

Tangazo hili limetolewa na:
 Rosemary Mwakitwange,
Organizing team member.

No comments:

Post a Comment