October 08, 2009

Pinda aziacha suti

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Katibi Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Asha Rose Migiro kwenye hoteli ya Intercontinental jijini Geneva ambako walihudhuria Mkutano wa Shirika la Kimayaifa la Mawasiliano Oktoba 7, 2009.

1 comment:

  1. Huyo Pinda ndo ameanza kutekeleza zile sera zake za indonesia za kuvaa batiki? Hongera baba.

    Bado sasa tukuone uko kwenye kiBAJAJI tu.

    Keep it up

    ReplyDelete