October 08, 2009

Dk Shein nae ajiandikisha

Makamu wa Rais Dk.Ali Mohamed Shein, akijiandikisha kwenye Daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa katika kutuo A kilichopo Shule ya Msingi Oysterbay Dar es Salaam jana. Kulia ni Msimamizi wa kituo hicho, Amina Shilla, katikati Mkewe, Mwanamwema Shein.

No comments:

Post a Comment