
Rais Jakaya Kikwete akimlisha keki mkewe , Salma Kikwete katika hafla fupi ya kifamilia iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam juzi kusherekea miaka 59 ya kuzaliwa kwake. Katikati ni Mdogo wa Rais Bwana Yusuf Kikwete ambaye naye jana alitimiza umri wa miaka 49.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na wanawe Rashid Kikwete Chodo (aliyemshika mkono),Khalfan Kikwete,( wapili kushoto) na Lulu Khalfan Kikwete ambaye ni mtoto wa mdogo wake.Aliyekaa pembeni nyuma ya Rais akiangalia ni Mama Salma Kikwete aliyeandaa hafla ya kifamilia ya kumpongeza Rais kwa kutimiza umri wa miaka 59 jana.
No comments:
Post a Comment