Nafasi Ya Matangazo

September 11, 2009

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Shivacom, Parthiban Chadra (kkushoto) na Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Ephraim Mafuru (wa pili kushoto) wakikabidhi funguo ya gari Suzuki Grand Vitara lenye thamani la shs milioni 53.2 atakalopewa mshindi wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 kwa Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania, Hasim Lundenga katika hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Giraffe jijini Dar es Salaam leo.
Posted by MROKI On Friday, September 11, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo