September 21, 2009

Furaha ya Sikukuu Ufukweni

Wakazi wa Dar es Salaam wakifurahia maji katika ufukwe wa baharti ya Hindi eneo la Coco jana ikiwa ni shamra shamra za kumalizaka kwa Mfungo mosi wa Eid El Fitri.
Umati wa watu ukiwa katika ufukwe wa Coco Dar es Salaam jana.

1 comment:

  1. Ivi hakuna swimming kosti huko? au mabo ya dini tena maana naona mashuka na kanga tuu? mamiss tz mko wapi kutoa elimu hii

    ReplyDelete