Ndugu Zabdiel Christoforo Lauwo wa moshi Mamba Masia anasikitika kutangaza kifo cha baba yake Mzee Christoforo Lauwo kilichotokea katika Hospitali ya Marangu tar 15/9/09.
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Masia Mamba,na Mazishi yanatarajiwa kufanyika siku ya ijumaa huko Moshi Marangu Mamba Masia.
Habari ziwafikie Eliaich Lauwo wa Bagamoyo Dar,Munguatosha Lauwo wa Arusha,Shose Lauwo wa Dar,Efrahim Lauwo wa Morogoro,Flora Lauwo wa Mwanza,Josephine Lauwo wa Tanga,Sande Lauwo wa Arusha na akina Lauwo wote popote pale walipo.
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe-Amen

0 comments:
Post a Comment