KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
September 14, 2009
R I P Mpakanjia
Aliyekuwa Mume wa Mpiganaji na Mbunge wa Viti Maalum marehemu Amina Chifupa Mpakanjia, Meddy Mpakanjia (pichani) amefariki dunia. Mungu alize roho ya marehemu mahala pema amina.
No comments:
Post a Comment