September 13, 2009

Malta Street Dance International

Mabingwa wa Malta Street Dance International 2009, kundi kutoka nchini Ufilipino wakiwa katika picha ya pamoja na kombe lao na mfano wa hundi wa dola 25,000 walizokabidhiwa jana na waandaaji wa Mashindano hayo kampuni ya Bia Afrika Mashariki (EABL) mjini Nairobi jana.
washiriki wa Kenya "SISCO" wakihukumiwa na majaji
watoto toka Holand wakifanya makeke
Cameroon sio soka tu hata mziki wanajua kucheza
Bob alisema watu wote ni sawa Mzungu, Mpfilipino na Mwafrika All are 1. Ndivyo wanavyosema Waphilipino wakati wa kujitambulisha
Vijana wa TMK nao walikuwepo kuiwakilisha Tanzania lakini bahati haikuwa yao.
Hapa TMK wakishambulia jukwaa. Mashabiki wakifuatilia mashindano.

No comments:

Post a Comment