KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
September 14, 2009
Mabango kwa wenzetu ni pembeni
Katika mikutano ya kibiashara kwa nchi za wenzetu hasa Kenya naona bango za biashara huwekwa pembeni lakini hapa kwetu mnajua inavyokuwa. Hapa ni katika mkutano na ... .....hapa kwetu mambo huwa hivi
Great observation Mrocky tushituane katika hilo sponcer hatikiwi kukinga mandhari ya tukio huku ughaibuni kwa mfano kila bango linavyozidi kuwekwa karibu na tukio basi fedha inatakiwa zaidi.. na katika show kubwa Mfano opera houses stagini uchafu huo hatakiwi unaishia kwenye ticketi tuu.

ReplyDelete