
Mambo yalipochelewa Glory aliamua kufanya hivi.

Pande limesha katwa akitaka kulisha mziwanda wake.

Mziwanda Glory akimlisha baba keki.

Anamlisha ubavu wake amabye hakika amemwezesha kufikia hapo alipo sasa. Dah! G anakula chabo.

Baba akimlisha Glory keki, kulia ni Neema, Alfredy a.k.a Bepari wa Kihaya na kushoto ni Beatrice.

Fatherki Devu akikata keki huku akiimbiwa wimbo maalum na kupigiwa makofi.Kutoka kulia ni Neema, Alfredy a.k.a Bepari wa Kihaya na kushoto ni Beatrice.
Huwa nafurahishwa sana na jinsi unavyoonesha upendo kwa familia yako..Keep it up that is great..Yes family first..Happy birthday
ReplyDeleteBlessings
Alvin
Happy birthday Mrocky!
ReplyDeleteBut what are you wearing??? Msuli angalia usidondike kwani utamwaga radhi mbele ya watoto.....hahahahahah
Hahaaaaa! eti mziwanda unajihami eeehe! hapo hakuna cha mziwanda wala nini jamaa ndio kafungua dimba hilo kazi ndio kwanzaaaaa inaanzaa hahaaa ilibidi nicheke kwanza.
ReplyDeleteSasa ndio nakupa hongera KILA LA KHERI NA BARAKA.
you look weird with msuli but nice pictures though: Happy Birhtday my friend
ReplyDeleteHongera Shem!
ReplyDelete