Nafasi Ya Matangazo

September 29, 2009

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua Maabara ya Komputa katika shule ya Sekondari ya Twiga wakati wa mahafali ya kwanza shuleni hapo jana.Mama Salma Kikwete akihutubia wanafunzi na wazazi waliohudhuria mahafali ya kwanza ya kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Twiga
iliyopo Tegeta Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Tuesday, September 29, 2009 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo