September 10, 2009

DT Dobie Tanzania yaleta kitu kipya.

Wadao mnaopenda kutembea huku mmekaa bila bugudha wala kelelele kitu hiki hapa. Hili ni gari jipya aina ya Mercedes Benz. Ndani hapo ni Kimwana Jocate Mwegelo akikitekenya.

No comments:

Post a Comment