KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
September 10, 2009
Washindi wa Quraan
Mke wa Rais wa Zanzibar mama Shadya Karume akimkabidhi zawadi Mshindi Juma Omar ambaye amihifadhi juzuu 1 Washindi wa shindano la kuhifadhi Quraan wakiwa na zawadi zao huko
No comments:
Post a Comment