KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
May 21, 2009
Uwanja mpya uzio wa mabati
Uwepo wa mabati haya kwenye uwanja wa taifa Dar es Salaam unaufanya uwanja huu wa kisasa kupoteza mandhari yake na kuonekana uchafu na si kivutio tena. Wahusika kulikoni mabati haya yasitolewe na ujenzi umekamailika?,
No comments:
Post a Comment