May 21, 2009

Waathirika wa mabomu.


Wanafunzi wa shule za msingi Mbagala takriban wiki sasa wanapatiwa huduma ya kuangalia masikio na macho iwapo kama yameathiriwa na milipuko ya mabomu.

No comments:

Post a Comment