May 21, 2009

Watoto wa Kigogo na dampo lao

Wanafunzi wa shule ya msingi wakazi wa Kigogo Dar es Salaam wakipita katika dampo lililopo maeneo yao . Harufu kali inayotoka katika dampo hilo lililopo katika makazi ya watu limekuwa kero.

No comments:

Post a Comment