December 04, 2008

Watoto wa Lundenga wanao tesa katika Benki

Watoto wa Hashim Lundenga mwandaaji wa Miss Tanzania kupitia kampuni ya Uwakala ya Lino, Miss Tanzania namba mbili 1994 Lucy Kihwele (kushoto) na Miss Tanzania 1999 Hoyce Temu wakipozi. Warembo hawa wanatesa katika kitengo cha habari cha Benki ya Standard Chartered Dar es Salaam huku Kihwele akiwa ndio bosi wa Temu.

No comments:

Post a Comment