December 04, 2008

Chukua Uende ya Obama Dar es Salaam

Rais Mteule wa Marekani ameanza kuwekenza nchini kwa kufungua kamradi haka ni Kijitonyama Dar es Salaam katika 'Chukua Uende" hiyo ya Obama. Kazi kwekli kweli sijafika USA huenda kule nao kuna vitu kama hivi vilivyo na majina ya Kikwete.

No comments:

Post a Comment