Kampuni ya kuzalisha umeme ya Aggreko imepigwa kufuli na kamopuni ya udalali ya Majembe kwa idhini iliyopewa na TRA kufuatia deni la kodi ya miaka mitatu linalokadiriwa kufikia zaidi Bilioni 10. TRA imefikia uamuzi huo baada ya kampuni hiyo kuanza kufungasha vifaa vyake vilivyopo Ubungo tayari kwa kuvisafirisjha kwenda nchini Angola waliposaini mktaba mpya.
No comments:
Post a Comment