December 05, 2008

Mrema adai bililioni 2 kwa wahariri

Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema akizungumza na waandishi wa Habari Dar es Salaam jana juu ya kesi aliyoifungua dhidi ya watu wanaojiita Jukwaa la wahariri na kudai fidia y ash bilioni 2 kutokana na kuchafuliwa jina lake kama kiongozi. Kushoto ni Katibu Mkuu John Komba.

2 comments:

  1. HUYO MREMA ATAKUWA NA HALE MBAYA YA PESA . HE LOOKS VERY WEEK AND HIS NAILS WHITE . HE NEEDS TO BE TESTED

    ReplyDelete
  2. he look sick . what is the hell is going on with him

    ReplyDelete