![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/ST58ExGFTqI/AAAAAAAABHg/CjoN72uChLw/s400/Raia.JPG)
Sehemu ya wananchi waliohudhuria maadhimisho ya miaka 47 ya Uhuru katika Uwanja wa taifa Dar es Salaam jana.
![](//3.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/ST58EqJwkzI/AAAAAAAABHY/Y26EFE59pHA/s400/JK.JPG)
Rais Jakaya Kikwete akipungua wananchi waliohudhuria maadhimisho ya 47 ya Uhuru katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange.
0 comments:
Post a Comment