![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STd1y6q0KOI/AAAAAAAABDg/QaGevhUdCZA/s280/wwwww.JPG)
Mdau Minja wa DT Dobie na washkaji zake wakiangalia michoro.
![](//2.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STd1zZ9TmMI/AAAAAAAABDw/gZal99SV8iY/s280/kali.JPG)
Mtindo huu wa nywele ni kiboko akina dada kazi kwenu huyu ameanza.
![](//4.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STd1zaqRsHI/AAAAAAAABDo/sL2wFGOpwJw/s280/fashion.JPG)
Wageni waalikwa wakiangalia michoro mbalimbali kwaajili ya kuinunua katika mnada ulioandaliwa na Balozi wa Italia nchini kwa kushirikiana na Wasanii Art Centre kuchangisha fedha.
No comments:
Post a Comment