August 04, 2008

Wasouth Katika Uzinduzi wa Zain




Baadhi ya wasanii wa kikundi cha sanaa za maonyesho cha Umoja kutoka Afrika Kusini, wakicheza wakati wa hafla ya kubadilisha jina la kibiashara la Celtel kuwa Zain kwenye Uwanja wa Karimjee, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment