August 04, 2008

vODACOM YAZINDUA OFA MPYA YA VODAZONE

Kaimu Mkurugeniz wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya Mkononi ya Vodacom, Exaudi Kiwali akionyesha moja ya bana za maelezo ya namna ya kupata ofa ya punguzo ya 50% kwa watumiaji wa simu walio nje ya miji ijilikanayo kama VODAZONE.

No comments:

Post a Comment