Mfano wa Jengo Uhuru Heights linalotarajiwa kuwa kubwa na refu kuliko yote jijini Dar es salaam litakalojengwa kwenye barabara ya bibi Titi Mohamed jijini Dar es salaam karibu na makutano ya brabara hiyo na ile ya Ali Hassan Mwinyi na ambalo jiwe lake la msingi liliwekwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Augosti 2,2008.
No comments:
Post a Comment