August 12, 2008

Wama yapokea msaada wa Lions

Mwenyekiti wa Taasisi ya Maendeleo ya Wanawake (WAMA) Salma Kikwete akijaribisha moja ya viti vya kutembelea walemavu vilivyo kabidhiwa kwa taasisi hiyo na Club ya Lions ya Jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Gavana wa Kanda ya 411B Abdul Majid Khan pamoja na wanachama wa kanda hiyo.

No comments:

Post a Comment