August 04, 2008

MZEE WA CHEZASALAMA

Mtangazaji wa kipindi cha vijana cha Femina Talk Show kinachoandaliwa na FEMINA HIP, Idd Ligongo au maarufu kwa jina la kisanii BIKO akidadisi jambo wakati aliponaswa na camera ya father Kidevu mitaa ya Posta Mpya. Ligongo ambaye ameaga ukapera hivi karibu amekaa kando na mambo ya uigizaji na sasa anajishughulisha na mambo ya habari. Aliwahi pia kuwa mtangazaji wa ITV.

1 comment: