Ndugu wa aliyekuwa mbunge wa Tarime marehemu Chacha Wangwe, Profesa Samuel Wangwe akisalimiana na Mwenyekiti wa Jukwa la wahariri Sakina Dattoo muda mfupi kabla ya kutangaza ripoti ya familia juu ya kifo cha marehemu nduguye, alipokutana na jukwaa la wahariri jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment