KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 06, 2008
Balozi wa redds
Balozi wa zamani na balozi mpya Balozi wa Redds akiwa na mama mzazi. Mabalozi wa zamani na balozi mpya katikati. Ilikuwa ni raha tupu katika mnuso huu pale Afrika Mpya Hotel wakati Balozi wa zamani wa Redds anakabidhi ofisi kwa Balozi mpya.
Angela wazazi wanasemaje kuwa unaendeleza libeneke la kutembea uchi washirika kanisani mwaeleza nini? na aunt yako Tatu anasemaje sasa maana alikuwa anamsema sana nani hiii, wacha kutembea uchi nenda shule si kutafuta uzuri tu wenzio wanaenda shule alaaa.

ReplyDeletei jus hope angela culd repaint for real and not play with our lord again.sorry coz i know ua in hard time now.
ReplyDelete