August 05, 2008

NISAIDIENI

Mkazi wa Saku-Chamazi jijini Dar es Salaam, Omar Salumu Ngunda mwenye ulemavu anaomba msaada toka kwa wasamaria wema wa kumwezesha ama kumnunulia pikipiki ya miguu mitatu maarufu kama Bajaj ili imezeshe kuendesha maisha yake na kuhudumia familia yake ya watoto watatu. Yeyote mwenye kuguswa na jambo hili na ambaye yu tayari kumsaidia awasiliane nami. +255 755 373999 au barua pepe mrokim@gmail.com.

No comments:

Post a Comment