August 04, 2008

Nikama mambo yalikuwa hivi......

"wewe inama huko jamaa washaanza hawa... mimi nazuga maji yamenichafua.."
"Ewooooooh! humalizi tu... noma mshikaji huyu demu kimeo then Dalali akiona hii kazi sina Msimbazi"
Obuna: "Mimi nashusha cape halafu nafumba macho Simba hawatajua kama ni mimi... Emeeh angalia huko huko na wewe kimeo usigeuke."

No comments:

Post a Comment