Balozi za Marekani Dar es Salaam Tanzania na Nairobi Kenya wameadhimisha mika kumi ya kulipuliwa kwa balozi hizo kwa kuwakumbuka wale waliokufa na waliojeruhiwa katika ajali hiyo ya kigaidi iliyotokea Agosti 7 1998.
KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
No comments:
Post a Comment