KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 06, 2008
Hata hii naipiga mwenyewe
Rais Jakaya Kikwete, akipiga picha alipokwenda kukagua shamba la Chai katika Kijiji cha Dabaga Wilaya ya Kilolo anakoendelea na ziara mkoani Iringa juzi. kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Deo Sanga 'Jah People'.
Kuna jambo kaligundua anataka kulifuatilia kwa karibu.
ReplyDelete