July 23, 2008

YANGA yantinga Nusu fainali Kagame

Kikosi cha watoto wa Mchangani (Jangwani) Yanga ya Dar es Salaam amabcho leo kimetinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kagame baada ya kuwalamba Vital'O ya Burundi 2-0 katika uwanja wa zamani wa taifa (shamba la Bibi). Yanga sasa itaikabili Tusker siku ya Ijumaa.

No comments:

Post a Comment