July 24, 2008

Miss Tanzania walishuhudia gari lao

baadhi ya warembo wanao wania taji la Vodacom Miss Tanzania 2008 wakiwa katika picha ya pamoja katika gari ambalo mshindi wa kwanza atazawadiwa. gari hilo Suzuki Grand Vitara linathamani ya sh milioni 42.

No comments:

Post a Comment