July 23, 2008

TASWA yapewa vifaa na Serengeti

Mwenyekiti wa timu ya Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa-FC) Majuto Omari (kushoto) akipokea jezi kutoka kwa Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Teddy Mapunda, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo kati ya timu hiyo Wabunge mjini Dodoma hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment