KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 28, 2008
Yanga kifungoni miaka 3 CECAFA
Timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam imefungiwa kwa mika 3 kushiriki michuano ya CECAFA pamoja na kutozwa faini ya USD 35,000/= kufuatia kitendo chao cha kuikimbia timu ya Simba katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa kuwania kombe la Kagame.
Breking Nyuuzzzzzzzzzzzz!
ReplyDeleteM-bunge Chacha Wangwe wa Chadema amefariki dunia usiku huu huko Dodoma kwa ajali ya gari Toyota Corola