July 28, 2008

Munanka kuzikwa Kinondoni.

Aliyekuwa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais wa Serikali ya awamu ya kwanza Bhoke Munanka (pichani) amefariki na anataraji kuzikwa Julai 29 2008 katika makaburi ya Kinondoni dar es Salaam, mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemnu Kimara. Mungu ampe pumziko la milele Amina.

No comments:

Post a Comment