Washindi wa kundi la wawili wawili wa mashindano ya kimataifa ya tenisi ya Tanga Cement Open International Tennis Tournament, Jacqueline Namfua (wa pili kushoto) wa Tanzania na Martin Dzuwa (kulia) wa Zimbabwe, wakipokea vokombe vyao kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Gymkhana Dar es Salaam, Prof. Primo Carweiro (kushoto), na Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Tanga Cement, Kati Kerenge katika hafla ya utoaji zawadi jijini Dar es Salaam juzi.
No comments:
Post a Comment