July 24, 2008

Naibu Katibu Mkuu UN na Dk Shein

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dk. Asha Rose Migiro alipomtembelea Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo. Dk. Migiro yupo Nchini kwa ajili ya mapumziko ambapo ametumia nafasi hiyo kwa ajili ya kuzungumza na viongozi mbalimbali hapa Nchini pamoja na kukabidhi taarifa ya Kamisheni ya kuwawezesha kisheria watu wenye kipato cha chini.

No comments:

Post a Comment