Washiriki katika shindano la Miss Tanzania 2008, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutangazwa kwa zawadi zao na wadhaminui wa shindano hilo Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam jana. Washiriki hao, wameanza kambi kujiandaa na shindano hilo katika hoteli ya Paradise mjini Bagamoyo.
Hiyo V waliotengeneza maana yake ni Voda com? Kama ndivyo kwani ni wadhamini pekee?
ReplyDeleteBado hujanipa jibu la kufanya ngozi iwe laini kama nilivyokuomba Kidevu fanya hima hao ma miss wanamaliza kambi soon
ReplyDelete