Makamu wa Rais Dk, Ali Mohamed Shein akimfariji Bibi Ramla Lukanza mama Mzazi wa Mtoto Fadhila Juma Lukanza aliyefariki dunia ghafla leo huko nyumbani kwao Ubungo Kibangu Dar es salaam.katikati ni Mama Mwanamwema Shein.
Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein, akimfariji Mzee Juma Lukanza ambae ni dereva wake kufuatia kifo cha mtoto wake wa kike Fadhila Juma Lukanza aliyefariki Dunia ghafla Nyumbani kwao Ubungo Kibangu leo.

Poleni sana WAFIWA!Mungu amlaze mahali pema MAREHEMU
ReplyDeleteHuyo Juma Lukanza ana gauti ehehe. Maana hicho kiwiko kimetokeza ile mbaya
ReplyDeleteNa Mahita yumo. Poleni wafiwa kwa msiba uliowapata
ReplyDelete